Native Bible

Leviticus 15:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akawaambia Mose na Aroni,

Leviticus 15:1 in English

Leviticus 15:1 · Berean Standard Bible

And the LORD said to Moses and Aaron,

Context

1Bwana akawaambia Mose na Aroni, 2“Semeni na Waisraeli mwaambie: ‘Wakati mtu yeyote anapotokwa na usaha mwilini, usaha huo ni najisi. 3Iwe unaendelea kutiririka kutoka mwilini mwake au umeziba, utamfanya kuwa najisi. Hivi ndivyo usaha wake utakavyomletea unajisi:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.