Native Bible

Leviticus 15:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Semeni na Waisraeli mwaambie: ‘Wakati mtu yeyote anapotokwa na usaha mwilini, usaha huo ni najisi.

Leviticus 15:2 in English

Leviticus 15:2 · Berean Standard Bible

“Say to the Israelites, ‘When any man has a bodily discharge, the discharge is unclean.

Context

1Bwana akawaambia Mose na Aroni, 2“Semeni na Waisraeli mwaambie: ‘Wakati mtu yeyote anapotokwa na usaha mwilini, usaha huo ni najisi. 3Iwe unaendelea kutiririka kutoka mwilini mwake au umeziba, utamfanya kuwa najisi. Hivi ndivyo usaha wake utakavyomletea unajisi: 4“ ‘Kitanda chochote atakacholalia mtu mwenye kutokwa na usaha kitakuwa najisi, na chochote atakachokalia kitakuwa najisi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.