Walawi 13:16
Leviticus 13:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hiyo nyama mbichi ikigeuka na kuwa nyeupe, ni lazima amwendee kuhani.
Leviticus 13:16 in English
Leviticus 13:16 · Berean Standard Bible
But if the raw flesh changes and turns white, he must go to the priest.
Context
14Lakini itokeapo nyama mbichi kwenye ngozi yake, atakuwa najisi. 15Kuhani atakapoiona hiyo nyama mbichi, atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Hiyo nyama mbichi ni najisi, ana ugonjwa wa kuambukiza. 16Hiyo nyama mbichi ikigeuka na kuwa nyeupe, ni lazima amwendee kuhani. 17Kuhani atamchunguza, na kama vidonda vimekuwa vyeupe, kuhani atamtangaza mgonjwa huyo kuwa safi; kisha atakuwa safi. 18“Wakati mtu ana jipu juu ya ngozi yake nalo likapona,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.