Walawi 13:14
Leviticus 13:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini itokeapo nyama mbichi kwenye ngozi yake, atakuwa najisi.
Leviticus 13:14 in English
Leviticus 13:14 · Berean Standard Bible
But whenever raw flesh appears on someone, he will be unclean.
Context
12“Ikiwa ugonjwa utakuwa umeenea kwenye ngozi yake yote kwa kadiri kuhani atakavyoweza kuona, kwamba umeenea kwenye ngozi yote ya huyo mgonjwa kutoka kichwani mpaka wayo, 13kuhani atamchunguza, na kama ugonjwa umeenea mwili mzima, atamtangaza huyo mtu kuwa safi. Kwa kuwa mwili wote umekuwa mweupe, yeye ni safi. 14Lakini itokeapo nyama mbichi kwenye ngozi yake, atakuwa najisi. 15Kuhani atakapoiona hiyo nyama mbichi, atamtangaza mtu huyo kuwa najisi. Hiyo nyama mbichi ni najisi, ana ugonjwa wa kuambukiza. 16Hiyo nyama mbichi ikigeuka na kuwa nyeupe, ni lazima amwendee kuhani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.