Walawi 10:1
Leviticus 10:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nadabu na Abihu, wana wa Aroni, wakachukua vyetezo vyao, wakaweka moto ndani yake na kuongeza uvumba; kisha wakamtolea Bwana moto usio halali, kinyume na agizo la Mungu.
Leviticus 10:1 in English
Leviticus 10:1 · Berean Standard Bible
Now Aaron’s sons Nadab and Abihu took their censers, put fire in them and added incense, and offered unauthorized * fire before the LORD, contrary to His command.
Context
1Nadabu na Abihu, wana wa Aroni, wakachukua vyetezo vyao, wakaweka moto ndani yake na kuongeza uvumba; kisha wakamtolea Bwana moto usio halali, kinyume na agizo la Mungu. 2Hivyo moto ukaja kutoka kwa uwepo wa Bwana na kuwaramba, nao wakafa mbele za Bwana. 3Kisha Mose akamwambia Aroni, “Hili ndilo alilonena Bwana wakati aliposema:
“ ‘Miongoni mwa wale watakaonikaribia
nitajionyesha kuwa mtakatifu;
machoni pa watu wote
nitaheshimiwa.’ ”
Aroni akanyamaza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.