Native Bible

Lamentations 3:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amenizungushia ukuta ili nisiweze kutoroka, amenifunga kwa minyororo mizito.

Lamentations 3:7 in English

Lamentations 3:7 · Berean Standard Bible

He has walled me in so I cannot escape; He has weighed me down with chains.

Context

5Amenizingira na kunizunguka kwa uchungu na taabu. 6Amenifanya niishi gizani kama wale waliokufa. 7Amenizungushia ukuta ili nisiweze kutoroka, amenifunga kwa minyororo mizito. 8Hata ninapoita au kulia ili kuomba msaada, anakataa kupokea maombi yangu. 9Ameizuia njia yangu kwa mapande ya mawe, amepotosha njia zangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.