Native Bible

Lamentations 3:55 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nililiitia jina lako, Ee Bwana, kutoka vina vya shimo.

Lamentations 3:55 in English

Lamentations 3:55 · Berean Standard Bible

I called on Your name, O LORD, out of the depths of the Pit.

Context

53Walijaribu kukomesha maisha yangu ndani ya shimo na kunitupia mawe; 54maji yalifunika juu ya kichwa changu, nami nikafikiri nilikuwa karibu kukatiliwa mbali. 55Nililiitia jina lako, Ee Bwana, kutoka vina vya shimo. 56Ulisikia ombi langu: “Usikizibie masikio yako kilio changu nikuombapo msaada.” 57Ulikuja karibu nilipokuita, nawe ukasema, “Usiogope.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.