Native Bible

Lamentations 3:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amefanya ngozi yangu na nyama yangu kuchakaa na ameivunja mifupa yangu.

Lamentations 3:4 in English

Lamentations 3:4 · Berean Standard Bible

He has worn away my flesh and skin; He has shattered my bones.

Context

2Amenifukuzia mbali na kunifanya nitembee gizani wala si katika nuru; 3hakika, amegeuza mkono wake dhidi yangu tena na tena, mchana kutwa. 4Amefanya ngozi yangu na nyama yangu kuchakaa na ameivunja mifupa yangu. 5Amenizingira na kunizunguka kwa uchungu na taabu. 6Amenifanya niishi gizani kama wale waliokufa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.