Native Bible

Lamentations 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amenifukuzia mbali na kunifanya nitembee gizani wala si katika nuru;

Lamentations 3:2 in English

Lamentations 3:2 · Berean Standard Bible

He has driven me away and made me walk in darkness instead of light.

Context

1Mimi ndiye mtu aliyeona mateso kwa fimbo ya ghadhabu yake. 2Amenifukuzia mbali na kunifanya nitembee gizani wala si katika nuru; 3hakika, amegeuza mkono wake dhidi yangu tena na tena, mchana kutwa. 4Amefanya ngozi yangu na nyama yangu kuchakaa na ameivunja mifupa yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.