Yoshua 24:21
Joshua 24:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini watu wakamwambia Yoshua, “Sivyo! Sisi tutamtumikia Bwana.”
Joshua 24:21 in English
Joshua 24:21 · Berean Standard Bible
“No!” replied the people. “We will serve the LORD!”
Context
19Yoshua akawaambia watu, “Hamwezi kumtumikia Bwana. Yeye ni Mungu Mtakatifu, ni Mungu mwenye wivu. Hatasamehe uasi wenu na dhambi zenu. 20Ikiwa mkimwacha Bwana na kuitumikia miungu migeni, atageuka na kuwaleteeni maafa na kuwaangamiza, baada ya kuwa mwema kwenu.” 21Lakini watu wakamwambia Yoshua, “Sivyo! Sisi tutamtumikia Bwana.” 22Ndipo Yoshua akawaambia, “Ninyi mmekuwa mashahidi juu yenu wenyewe kuwa mmechagua kumtumikia Bwana.”
Nao wakajibu, “Ndiyo, tu mashahidi.” 23Yoshua akawaambia, “Sasa basi, itupeni mbali hiyo miungu migeni iliyo katikati yenu, nanyi mtoleeni Bwana, Mungu wa Israeli, mioyo yenu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.