Native Bible

Joshua 19:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kama vile Bwana alivyokuwa ameamuru. Walimpa mji alioutaka, ambao ni Timnath-Sera* ulio katika nchi ya vilima ya Efraimu. Naye akajenga mji, akakaa huko.

Joshua 19:50 in English

Joshua 19:50 · Berean Standard Bible

as the LORD had commanded. They gave him the city of Timnath-serah * in the hill country of Ephraim, as he requested. He rebuilt the city and settled in it.

Context

48Miji hii na vijiji vyake ndio iliyokuwa urithi wa kabila la Dani, ukoo kwa ukoo. 49Walipomaliza kugawanya nchi katika migawo kulingana na sehemu zao zilizowaangukia, Waisraeli wakampa Yoshua mwana wa Nuni urithi katikati yao, 50kama vile Bwana alivyokuwa ameamuru. Walimpa mji alioutaka, ambao ni Timnath-Sera* ulio katika nchi ya vilima ya Efraimu. Naye akajenga mji, akakaa huko. 51Haya ndiyo maeneo ambayo kuhani Eleazari, Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa koo za kabila za Israeli waliyoyagawanya kwa kura huko Shilo mbele za Bwana penye ingilio la Hema la Kukutania. Hivyo wakamaliza kuigawanya nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.