Yoshua 19:32
Joshua 19:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kura ya sita ikaangukia kabila la Naftali, ukoo kwa ukoo:
Joshua 19:32 in English
Joshua 19:32 · Berean Standard Bible
The sixth lot came out for the clans of the tribe of Naphtali:
Context
30Uma, Afeki na Rehobu. Ilikuwepo miji ishirini na miwili, pamoja na vijiji vyake. 31Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo. 32Kura ya sita ikaangukia kabila la Naftali, ukoo kwa ukoo: 33Mpaka wao uliendelea kutoka Helefi na kwenye mti mkubwa ulio katika Saananimu, ukipitia Adami-Nekebu na Yabineeli hadi Lakumu, na kuishia katika Mto Yordani. 34Mpaka ukaendelea magharibi kupitia Aznoth-Tabori na kutokea Hukoki. Ukagusa Zabuloni upande wa kusini, Asheri upande wa magharibi, na Yordani upande wa mashariki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.