Yoshua 19:30
Joshua 19:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Uma, Afeki na Rehobu. Ilikuwepo miji ishirini na miwili, pamoja na vijiji vyake.
Joshua 19:30 in English
Joshua 19:30 · Berean Standard Bible
Ummah, Aphek, and Rehob. There were twenty-two cities, along with their villages.
Context
28Ukaendelea hadi Abdoni, Rehobu, Hamoni na Kana, na kufika Sidoni Kuu. 29Mpaka huo ukageukia nyuma kuelekea Rama na kwenda hadi kwenye mji wenye ngome wa Tiro, ukageuka kuelekea Hosa na kutokeza baharini katika eneo la Akzibu, 30Uma, Afeki na Rehobu. Ilikuwepo miji ishirini na miwili, pamoja na vijiji vyake. 31Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo. 32Kura ya sita ikaangukia kabila la Naftali, ukoo kwa ukoo:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.