Native Bible

Joshua 19:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kura ya tano ikaangukia kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo.

Joshua 19:24 in English

Joshua 19:24 · Berean Standard Bible

The fifth lot came out for the clans of the tribe of Asher:

Context

22Mpaka ule ukagusa Tabori, Shahasuma na Beth-Shemeshi, na ukaishia kwenye Yordani. Ilikuwa miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake. 23Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, ukoo kwa ukoo. 24Kura ya tano ikaangukia kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo. 25Eneo lao lilijumuisha: Helkathi, Hali, Beteni, Akishafu, 26Alameleki, Amadi na Mishali. Upande wa magharibi mpaka uligusa Karmeli na Shihor-Libnathi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.