Native Bible

Joshua 19:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, ukoo kwa ukoo.

Joshua 19:23 in English

Joshua 19:23 · Berean Standard Bible

This was the inheritance of the clans of the tribe of Issachar, including these cities and their villages.

Context

21Remethi, En-Ganimu, En-Hada na Beth-Pasesi. 22Mpaka ule ukagusa Tabori, Shahasuma na Beth-Shemeshi, na ukaishia kwenye Yordani. Ilikuwa miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake. 23Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, ukoo kwa ukoo. 24Kura ya tano ikaangukia kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo. 25Eneo lao lilijumuisha: Helkathi, Hali, Beteni, Akishafu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.