Yoshua 19:12
Joshua 19:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ukageuka mashariki, kuanzia Saridi kuelekea mawio ya jua hadi kwenye nchi ya Kisiloth-Tabori, na kwenda hadi Daberathi, kupanda Yafia.
Joshua 19:12 in English
Joshua 19:12 · Berean Standard Bible
From Sarid it turned eastward along the border of Chisloth-tabor and went on to Daberath and up to Japhia.
Context
10Kura ya tatu ikaangukia kabila la Zabuloni, ukoo kwa ukoo:
Mpaka wa urithi wao uliendelea hadi Saridi. 11Kuelekea upande wa magharibi ukafika Marala, ukagusa Dabeshethi, na kuendelea mpaka kwenye bonde karibu na Yokneamu. 12Ukageuka mashariki, kuanzia Saridi kuelekea mawio ya jua hadi kwenye nchi ya Kisiloth-Tabori, na kwenda hadi Daberathi, kupanda Yafia. 13Kisha ukaendelea mashariki hadi Gath-Heferi na kufika Eth-Kasini, ukatokea Rimoni na kugeuka kuelekea Nea. 14Huko mpaka ukazungukia upande wa kaskazini hadi Hanathoni na kuishia katika Bonde la Ifta-Eli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.