Native Bible

Joshua 16:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ukaendelea kutoka Betheli (ndiyo Luzu), ukavuka kuingia eneo la Waariki huko Atarothi,

Joshua 16:2 in English

Joshua 16:2 · Berean Standard Bible

It went on from Bethel (that is, Luz)* and proceeded to the border of the Archites in Ataroth.

Context

1Mgawanyo wa Yosefu ulianzia Yordani ya Yeriko, mashariki mwa miji ya Yeriko na kutoka hapo ulipanda kupitia jangwani na kuingia katika nchi ya vilima ya Betheli. 2Ukaendelea kutoka Betheli (ndiyo Luzu), ukavuka kuingia eneo la Waariki huko Atarothi, 3ukateremkia kuelekea magharibi hadi eneo la Wayafleti ukienea hadi eneo la Beth-Horoni ya Chini hadi Gezeri, ukiishia baharini. 4Kwa hiyo Manase na Efraimu, wazao wa Yosefu, walipokea urithi wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.