Yoshua 13:19
Joshua 13:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kiriathaimu, Sibma, Sereth-Shahari juu ya kilima kilicho katika bonde,
Joshua 13:19 in English
Joshua 13:19 · Berean Standard Bible
Kiriathaim, Sibmah, Zereth-shahar on the hill in the valley,
Context
17hadi Heshboni na miji yake yote kwenye uwanda wa juu, ikijumlishwa miji ya Diboni, Bamoth-Baali, Beth-Baal-Meoni, 18Yahasa, Kedemothi, Mefaathi, 19Kiriathaimu, Sibma, Sereth-Shahari juu ya kilima kilicho katika bonde, 20Beth-Peori, materemko ya Pisga na Beth-Yeshimothi: 21miji yote ya uwanda wa juu na eneo lote la utawala wa Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala katika Heshboni. Mose alikuwa amemshinda Sihoni, pia watawala wakuu wa Wamidiani, ambao ni Evi, Rekemu, Suri, Huri na Reba, waliokuwa wameungana na Sihoni, ambao waliishi katika nchi ile.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.