Native Bible

Joshua 13:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Beth-Peori, materemko ya Pisga na Beth-Yeshimothi:

Joshua 13:20 in English

Joshua 13:20 · Berean Standard Bible

Beth-peor, the slopes of Pisgah, and Beth-jeshimoth—

Context

18Yahasa, Kedemothi, Mefaathi, 19Kiriathaimu, Sibma, Sereth-Shahari juu ya kilima kilicho katika bonde, 20Beth-Peori, materemko ya Pisga na Beth-Yeshimothi: 21miji yote ya uwanda wa juu na eneo lote la utawala wa Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala katika Heshboni. Mose alikuwa amemshinda Sihoni, pia watawala wakuu wa Wamidiani, ambao ni Evi, Rekemu, Suri, Huri na Reba, waliokuwa wameungana na Sihoni, ambao waliishi katika nchi ile. 22Pamoja na wale waliouawa katika vita, Waisraeli walikuwa wamemuua kwa upanga Balaamu mwana wa Beori aliyekuwa mchawi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.