Native Bible

Joshua 13:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

hadi Heshboni na miji yake yote kwenye uwanda wa juu, ikijumlishwa miji ya Diboni, Bamoth-Baali, Beth-Baal-Meoni,

Joshua 13:17 in English

Joshua 13:17 · Berean Standard Bible

to Heshbon and all its cities on the plateau, including Dibon, Bamoth-baal, Beth-baal-meon,

Context

15Haya ndiyo maeneo ambayo Mose alikuwa amewapa kabila la Reubeni ukoo kwa ukoo: 16Eneo la Aroeri lililo ukingoni mwa Bonde la Arnoni, na kuanzia mji ulio katikati ya bonde, pia uwanda wote wa juu kupita Medeba 17hadi Heshboni na miji yake yote kwenye uwanda wa juu, ikijumlishwa miji ya Diboni, Bamoth-Baali, Beth-Baal-Meoni, 18Yahasa, Kedemothi, Mefaathi, 19Kiriathaimu, Sibma, Sereth-Shahari juu ya kilima kilicho katika bonde,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.