Yoshua 10:43
Joshua 10:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Yoshua akarudi pamoja na Israeli yote kwenye kambi huko Gilgali.
Joshua 10:43 in English
Joshua 10:43 · Berean Standard Bible
Then Joshua returned with all Israel to the camp at Gilgal.
Context
41Yoshua akawashinda kuanzia Kadesh-Barnea hadi Gaza na kutoka eneo lote la Gosheni hadi Gibeoni. 42Wafalme hawa wote pamoja na nchi zao Yoshua aliwashinda kwa wakati mmoja, kwa sababu Bwana, Mungu wa Israeli, aliwapigania Israeli. 43Ndipo Yoshua akarudi pamoja na Israeli yote kwenye kambi huko Gilgali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.