Native Bible

Joshua 1:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, Yoshua akasema,

Joshua 1:12 in English

Joshua 1:12 · Berean Standard Bible

But to the Reubenites, the Gadites, and the half-tribe of Manasseh, Joshua said,

Context

10Ndipo Yoshua akawaagiza maafisa wa watu akisema, 11“Pitieni katika kambi yote mkawaambie watu, ‘Wekeni tayari mahitaji yenu. Siku tatu kuanzia sasa mtavuka hii Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa iwe yenu wenyewe.’ ” 12Lakini kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, Yoshua akasema, 13“Kumbukeni agizo lile Mose mtumishi wa Bwana alilowapa: ‘Bwana Mungu wenu anawapa ninyi raha, naye amewapa nchi hii.’ 14Wake zenu, watoto wenu na mifugo yenu watakaa katika nchi ile Mose aliyowapa mashariki ya Yordani, lakini mashujaa wenu wote, wakiwa wamevikwa silaha kikamilifu lazima wavuke mbele ya ndugu zenu. Imewapasa kuwasaidia ndugu zenu hadi

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.