Native Bible

Joshua 1:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Yoshua akawaagiza maafisa wa watu akisema,

Joshua 1:10 in English

Joshua 1:10 · Berean Standard Bible

Then Joshua commanded the officers of the people:

Context

8Usiache Kitabu hiki cha Sheria kiondoke kinywani mwako; yatafakari maneno yake usiku na mchana, ili upate kuwa mwangalifu kufanya kila kitu sawasawa na yote yaliyoandikwa ndani yake. Ndipo utakapofanikiwa na kisha utastawi. 9Je, si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na shujaa. Usihofu wala usivunjike moyo, kwa kuwa Bwana Mungu wako atakuwa pamoja nawe kokote uendako.” 10Ndipo Yoshua akawaagiza maafisa wa watu akisema, 11“Pitieni katika kambi yote mkawaambie watu, ‘Wekeni tayari mahitaji yenu. Siku tatu kuanzia sasa mtavuka hii Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa iwe yenu wenyewe.’ ” 12Lakini kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, Yoshua akasema,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.