Native Bible

Jonah 3:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ondoka uende katika mji mkubwa wa Ninawi, ukautangazie ujumbe ninaokupa.”

Jonah 3:2 in English

Jonah 3:2 · Berean Standard Bible

“Get up! Go to the great city of Nineveh and proclaim to it the message that I give you.”

Context

1Ndipo neno la Bwana likamjia Yona mara ya pili: 2“Ondoka uende katika mji mkubwa wa Ninawi, ukautangazie ujumbe ninaokupa.” 3Yona akalitii neno la Bwana naye akaenda Ninawi. Basi Ninawi ulikuwa mji maarufu sana, ilichukua siku tatu kuuzunguka. 4Siku ya kwanza, Yona aliingia mjini. Akatangaza: “Baada ya siku arobaini Ninawi utaangamizwa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.