Native Bible

Jonah 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo neno la Bwana likamjia Yona mara ya pili:

Jonah 3:1 in English

Jonah 3:1 · Berean Standard Bible

Then the word of the LORD came to Jonah a second time:

Context

1Ndipo neno la Bwana likamjia Yona mara ya pili: 2“Ondoka uende katika mji mkubwa wa Ninawi, ukautangazie ujumbe ninaokupa.” 3Yona akalitii neno la Bwana naye akaenda Ninawi. Basi Ninawi ulikuwa mji maarufu sana, ilichukua siku tatu kuuzunguka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.