Native Bible

Jonah 2:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Bwana akamwamuru yule nyangumi, naye akamtapika Yona katika nchi kavu.

Jonah 2:10 in English

Jonah 2:10 · Berean Standard Bible

And the LORD commanded the fish, and it vomited Jonah onto dry land.

Context

8“Wale watu wanaongʼangʼana na sanamu zisizofaa hupoteza neema ile ambayo ingekuwa yao. 9Lakini mimi, kwa wimbo wa shukrani, nitakutolea dhabihu. Lile nililowekea nadhiri nitalitimiza. Wokovu watoka kwa Bwana.” 10Basi Bwana akamwamuru yule nyangumi, naye akamtapika Yona katika nchi kavu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.