Yona 2:9
Jonah 2:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini mimi, kwa wimbo wa shukrani, nitakutolea dhabihu. Lile nililowekea nadhiri nitalitimiza. Wokovu watoka kwa Bwana.”
Jonah 2:9 in English
Jonah 2:9 · Berean Standard Bible
But I, with the voice of thanksgiving, will sacrifice to You. I will fulfill what I have vowed. Salvation is from the LORD!”
Context
7“Wakati uhai wangu ulipokuwa unatoka,
nilikukumbuka wewe, Bwana,
nayo maombi yangu yalikufikia wewe,
katika Hekalu lako takatifu. 8“Wale watu wanaongʼangʼana na sanamu zisizofaa
hupoteza neema ile ambayo ingekuwa yao. 9Lakini mimi, kwa wimbo wa shukrani,
nitakutolea dhabihu.
Lile nililowekea nadhiri nitalitimiza.
Wokovu watoka kwa Bwana.” 10Basi Bwana akamwamuru yule nyangumi, naye akamtapika Yona katika nchi kavu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.