Yoeli 3:1
Joel 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Katika siku hizo na wakati huo, nitakaporejesha neema ya Yuda na Yerusalemu,
Joel 3:1 in English
Joel 3:1 · Berean Standard Bible
“Yes, in those days and at that time, when I restore Judah and Jerusalem from captivity,*
Context
1“Katika siku hizo na wakati huo,
nitakaporejesha neema ya Yuda na Yerusalemu, 2nitayakusanya mataifa yote na kuyaleta
katika Bonde la Yehoshafati*
Hapo nitaingia kwenye hukumu dhidi yao
kuhusu urithi wangu, watu wangu Israeli,
kwa kuwa waliwatawanya watu wangu
miongoni mwa mataifa
na kuigawa nchi yangu. 3Wanawapigia kura watu wangu
na kuwauza wavulana ili kupata makahaba;
waliwauza wasichana
ili wapate kunywa mvinyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.