Native Bible

Joel 2:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jua litageuzwa kuwa giza na mwezi kuwa mwekundu kama damu, kabla ya kuja siku ya Bwana ile kuu na ya kutisha.

Joel 2:31 in English

Joel 2:31 · Berean Standard Bible

The sun will be turned to darkness and the moon to blood before the coming of the great and awesome * Day of the LORD.

Context

29Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, katika siku zile nitamimina Roho wangu. 30Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu na duniani: damu, moto na mawimbi ya moshi. 31Jua litageuzwa kuwa giza na mwezi kuwa mwekundu kama damu, kabla ya kuja siku ya Bwana ile kuu na ya kutisha. 32Na kila mtu atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa. Kwa maana juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu kutakuwepo wokovu, kama Bwana alivyosema, miongoni mwa walionusurika ambao Bwana awaita.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.