Yoeli 2:30
Joel 2:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu na duniani: damu, moto na mawimbi ya moshi.
Joel 2:30 in English
Joel 2:30 · Berean Standard Bible
I will show wonders in the heavens and on the earth, blood and fire and columns * of smoke.
Context
28“Hata itakuwa, baada ya hayo,
nitamimina Roho wangu juu ya wote wenye mwili.
Wana wenu na binti zenu watatabiri,
wazee wenu wataota ndoto,
na vijana wenu wataona maono. 29Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake,
katika siku zile nitamimina Roho wangu. 30Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu
na duniani:
damu, moto na mawimbi ya moshi. 31Jua litageuzwa kuwa giza
na mwezi kuwa mwekundu kama damu,
kabla ya kuja siku ya Bwana
ile kuu na ya kutisha. 32Na kila mtu atakayeliitia
jina la Bwana ataokolewa.
Kwa maana juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu
kutakuwepo wokovu,
kama Bwana alivyosema,
miongoni mwa walionusurika
ambao Bwana awaita.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.