Native Bible

Job 7:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwili wangu umevikwa mabuu na uchafu, ngozi yangu imetumbuka na kutunga usaha.

Job 7:5 in English

Job 7:5 · Berean Standard Bible

My flesh is clothed with worms and encrusted with dirt; my skin is cracked and festering.

Context

3ndivyo nilivyogawiwa miezi ya ubatili, nami nimeandikiwa huzuni usiku hata usiku. 4Wakati nilalapo ninawaza, ‘Itachukua muda gani kabla sijaamka?’ Usiku huwa mrefu, nami najigeuzageuza hadi mapambazuko. 5Mwili wangu umevikwa mabuu na uchafu, ngozi yangu imetumbuka na kutunga usaha. 6“Siku zangu zinapita upesi kuliko mtande wa kufuma, nazo zinafikia mwisho wake bila matumaini. 7Kumbuka, Ee Mungu, maisha yangu ni kama pumzi; macho yangu kamwe hayataona tena raha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.