Ayubu 39:28
Job 39:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huishi juu ya miamba mirefu na kukaa huko usiku; majabali yenye ncha kali ndiyo ngome yake.
Job 39:28 in English
Job 39:28 · Berean Standard Bible
He dwells on a cliff and lodges there; his stronghold is on a rocky crag.
Context
26“Je, mwewe huruka kwa hekima yako
na kuyakunjua mabawa yake kuelekea kusini? 27Je, tai hupaa juu kwa amri yako
na kujenga kiota chake mahali pa juu? 28Huishi juu ya miamba mirefu na kukaa huko usiku;
majabali yenye ncha kali ndiyo ngome yake. 29Kutoka huko hutafuta chakula chake;
macho yake hukiona kutoka mbali. 30Makinda yake hujilisha damu,
na pale palipo na machinjo, ndipo yeye alipo.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.