Ayubu 36:2
Job 36:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Nivumilie kidogo zaidi nami nitakuonyesha kwamba yako mengi zaidi ya kusemwa kwa ajili ya Mungu.
Job 36:2 in English
Job 36:2 · Berean Standard Bible
“Bear with me a little longer, and I will show you that there is more to be said on God’s behalf.
Context
1Elihu akaendelea kusema: 2“Nivumilie kidogo zaidi nami nitakuonyesha
kwamba yako mengi zaidi ya kusemwa kwa ajili ya Mungu. 3Ninayapata maarifa yangu kutoka mbali,
nami nitamhesabia haki Muumba wangu. 4Uwe na hakika kwamba maneno yangu si ya uongo;
mmoja aliye mkamilifu katika maarifa yuko pamoja na wewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.