Native Bible

Job 33:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kama bado kuna malaika upande wake kama mtetezi, mmoja miongoni mwa elfu, wa kumwambia mwanadamu lililo jema kwake,

Job 33:23 in English

Job 33:23 · Berean Standard Bible

Yet if there is a messenger on his side, one mediator in a thousand, to tell a man what is right for him,

Context

21Nyama ya mwili wake huisha kwa kukonda, nayo mifupa yake ambayo mwanzoni ilikuwa imefichika, sasa inatokeza nje. 22Nafsi yake inakaribia kaburi, nao uhai wake karibu na wajumbe wa kifo. 23“Kama bado kuna malaika upande wake kama mtetezi, mmoja miongoni mwa elfu, wa kumwambia mwanadamu lililo jema kwake, 24kumwonea huruma na kusema, ‘Mwokoe asije akatumbukia shimoni; nimepata ukombozi kwa ajili yake’: 25ndipo nyama ya mwili wake hufanywa mpya kama ya mtoto; hurudishwa upya kama siku za ujana wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.