Ayubu 27:19
Job 27:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye hulala akiwa tajiri, lakini ndiyo mara ya mwisho; afunguapo macho yake, yote yametoweka.
Job 27:19 in English
Job 27:19 · Berean Standard Bible
He lies down wealthy, but will do so no more; when he opens his eyes, all is gone.
Context
17yale yote mtu mwovu aliyojiwekea akiba, mwenye haki atayavaa,
naye asiye na hatia ataigawanya fedha yake. 18Nyumba aijengayo ni kama utando wa buibui,
kama kibanda alichotengeneza mlinzi. 19Yeye hulala akiwa tajiri, lakini ndiyo mara ya mwisho;
afunguapo macho yake, yote yametoweka. 20Vitisho humjia kama mafuriko;
dhoruba humkumba ghafula usiku. 21Upepo mkali wa mashariki humchukua, naye hutoweka;
humzoa kutoka mahali pake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.