Native Bible

Job 27:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema:

Job 27:1 in English

Job 27:1 · Berean Standard Bible

Job continued his discourse:

Context

1Ndipo Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema: 2“Hakika kama Mungu aishivyo, aliyeninyima haki yangu, Mwenyezi ambaye amenifanya nionje uchungu wa nafsi, 3kwa muda wote nitakaokuwa na uhai ndani yangu, nayo pumzi ya Mungu ikiwa puani mwangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.