Ayubu 27:2
Job 27:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Hakika kama Mungu aishivyo, aliyeninyima haki yangu, Mwenyezi ambaye amenifanya nionje uchungu wa nafsi,
Job 27:2 in English
Job 27:2 · Berean Standard Bible
“As surely as God lives, who has deprived me of justice— the Almighty, who has embittered my soul—
Context
1Ndipo Ayubu akaendelea na hoja yake, akasema: 2“Hakika kama Mungu aishivyo, aliyeninyima haki yangu,
Mwenyezi ambaye amenifanya
nionje uchungu wa nafsi, 3kwa muda wote nitakaokuwa na uhai ndani yangu,
nayo pumzi ya Mungu ikiwa puani mwangu, 4midomo yangu haitanena uovu,
wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.