Native Bible

Job 25:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, majeshi yake yaweza kuhesabika? Ni nani asiyeangaziwa na nuru yake?

Job 25:3 in English

Job 25:3 · Berean Standard Bible

Can His troops be numbered? On whom does His light not rise?

Context

1Ndipo Bildadi Mshuhi akajibu: 2“Mamlaka na kuheshimiwa ni vyake Mungu; yeye huthibitisha amani katika mbingu juu. 3Je, majeshi yake yaweza kuhesabika? Ni nani asiyeangaziwa na nuru yake? 4Mtu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? Awezaje mtu aliyezaliwa na mwanamke kuwa safi? 5Ikiwa hata mwezi sio mwangavu nazo nyota si safi machoni pake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.