Native Bible

Job 25:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mamlaka na kuheshimiwa ni vyake Mungu; yeye huthibitisha amani katika mbingu juu.

Job 25:2 in English

Job 25:2 · Berean Standard Bible

“Dominion and awe belong to God; He establishes harmony in the heights of heaven.

Context

1Ndipo Bildadi Mshuhi akajibu: 2“Mamlaka na kuheshimiwa ni vyake Mungu; yeye huthibitisha amani katika mbingu juu. 3Je, majeshi yake yaweza kuhesabika? Ni nani asiyeangaziwa na nuru yake? 4Mtu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? Awezaje mtu aliyezaliwa na mwanamke kuwa safi?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.