Native Bible

Job 22:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Elifazi Mtemani akajibu:

Job 22:1 in English

Job 22:1 · Berean Standard Bible

Then Eliphaz the Temanite replied:

Context

1Ndipo Elifazi Mtemani akajibu: 2“Je, mwanadamu aweza kuwa wa faida kwa Mungu? Je, hata mtu mwenye hekima aweza kumfaidi? 3Je, Mwenyezi angefurahia nini kama ungekuwa mwadilifu? Au je, yeye angepata faida gani kama njia zako zingekuwa kamilifu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.