Ayubu 22:2
Job 22:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Je, mwanadamu aweza kuwa wa faida kwa Mungu? Je, hata mtu mwenye hekima aweza kumfaidi?
Job 22:2 in English
Job 22:2 · Berean Standard Bible
“Can a man be of use to God? Can even a wise man benefit Him?
Context
1Ndipo Elifazi Mtemani akajibu: 2“Je, mwanadamu aweza kuwa wa faida kwa Mungu?
Je, hata mtu mwenye hekima aweza kumfaidi? 3Je, Mwenyezi angefurahia nini
kama ungekuwa mwadilifu?
Au je, yeye angepata faida gani
kama njia zako zingekuwa kamilifu? 4“Je, ni kwa ajili ya utaua wako ndiyo maana anakukemea
na kuleta mashtaka dhidi yako?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.