Ayubu 21:32
Job 21:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hupelekwa kaburini, nao ulinzi ukawekwa kwenye kaburi lake.
Job 21:32 in English
Job 21:32 · Berean Standard Bible
He is carried to the grave, and watch is kept over his tomb.
Context
30kwamba mtu mwovu huepushwa kutoka siku ya maafa,
kwamba huokolewa kutoka siku ya ghadhabu? 31Ni nani hulaumu matendo yake mbele ya uso wake?
Ni nani ampatilizaye kwa yale aliyoyatenda? 32Hupelekwa kaburini,
nao ulinzi ukawekwa kwenye kaburi lake. 33Udongo ulio bondeni ni mtamu kwake;
watu wote watamfuata,
nao umati wa watu usiohesabika umemtangulia. 34“Hivyo ninyi mnawezaje kunifariji kwa upuzi wenu?
Hakuna kilichosalia cha majibu yenu isipokuwa uongo!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.