Native Bible

Job 21:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Hivyo ninyi mnawezaje kunifariji kwa upuzi wenu? Hakuna kilichosalia cha majibu yenu isipokuwa uongo!”

Job 21:34 in English

Job 21:34 · Berean Standard Bible

So how can you comfort me with empty words? For your answers remain full of falsehood.”

Context

32Hupelekwa kaburini, nao ulinzi ukawekwa kwenye kaburi lake. 33Udongo ulio bondeni ni mtamu kwake; watu wote watamfuata, nao umati wa watu usiohesabika umemtangulia. 34“Hivyo ninyi mnawezaje kunifariji kwa upuzi wenu? Hakuna kilichosalia cha majibu yenu isipokuwa uongo!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.