Native Bible

Job 20:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hili ndilo fungu Mungu alilowagawia waovu, urithi uliowekwa kwa ajili yao na Mungu.”

Job 20:29 in English

Job 20:29 · Berean Standard Bible

This is the wicked man’s portion from God, the inheritance God has appointed him.”

Context

27Mbingu zitaweka wazi hatia yake, nayo nchi itainuka kinyume chake. 28Mafuriko yataichukua nyumba yake, maji yaendayo kasi katika siku ya ghadhabu ya Mungu. 29Hili ndilo fungu Mungu alilowagawia waovu, urithi uliowekwa kwa ajili yao na Mungu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.