Ayubu 20:28
Job 20:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mafuriko yataichukua nyumba yake, maji yaendayo kasi katika siku ya ghadhabu ya Mungu.
Job 20:28 in English
Job 20:28 · Berean Standard Bible
The possessions of his house will be removed, flowing away on the day of God’s wrath.
Context
26giza nene linavizia hazina zake.
Moto usiopepewa na mtu utamteketeza,
na kuangamiza yaliyosalia nyumbani mwake. 27Mbingu zitaweka wazi hatia yake,
nayo nchi itainuka kinyume chake. 28Mafuriko yataichukua nyumba yake,
maji yaendayo kasi katika siku ya ghadhabu ya Mungu. 29Hili ndilo fungu Mungu alilowagawia waovu,
urithi uliowekwa kwa ajili yao na Mungu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.