Ayubu 2:8
Job 2:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Ayubu akachukua kigae na kujikuna nacho huku akiketi kwenye majivu.
Job 2:8 in English
Job 2:8 · Berean Standard Bible
And Job took a piece of broken pottery to scrape himself as he sat among the ashes.
Context
6Bwana akamwambia Shetani, “Vema sana, kwa hiyo, yeye yumo mikononi mwako, lakini lazima umwachie uhai wake.” 7Basi Shetani akatoka mbele za Bwana naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi wa kichwa. 8Ndipo Ayubu akachukua kigae na kujikuna nacho huku akiketi kwenye majivu. 9Mke wake akamwambia, “Je, bado unashikamana na uadilifu wako? Mlaani Mungu nawe ukafe!” 10Akamjibu, “Unazungumza kama vile ambavyo mwanamke mpumbavu* yeyote angenena. Je, tupokee mema mikononi mwa Mungu, nasi tusipokee na udhia?”
Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi katika kusema kwake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.