Ayubu 18:19
Job 18:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hana mtoto wala mzao miongoni mwa watu wake, wala aliyenusurika mahali alipoishi.
Job 18:19 in English
Job 18:19 · Berean Standard Bible
He has no offspring or posterity among his people, no survivor where he once lived.
Context
17Kumbukumbu lake litatoweka katika dunia,
wala hatakuwa na jina katika nchi. 18Ameondolewa nuruni na kusukumiwa gizani,
naye amefukuzwa mbali atoke duniani. 19Hana mtoto wala mzao miongoni mwa watu wake,
wala aliyenusurika mahali alipoishi. 20Watu wa magharibi watashangaa yaliyompata;
watu wa mashariki watapatwa na hofu. 21Hakika ndivyo yalivyo makao ya mtu mwovu;
ndivyo palivyo mahali pake mtu asiyemjua Mungu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.