Ayubu 18:17
Job 18:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kumbukumbu lake litatoweka katika dunia, wala hatakuwa na jina katika nchi.
Job 18:17 in English
Job 18:17 · Berean Standard Bible
The memory of him perishes from the earth, and he has no name in the land.
Context
15Moto utakaa katika hema lake;
moto wa kiberiti utamwagwa juu ya makao yake. 16Mizizi yake chini itakauka
na matawi yake juu yatanyauka. 17Kumbukumbu lake litatoweka katika dunia,
wala hatakuwa na jina katika nchi. 18Ameondolewa nuruni na kusukumiwa gizani,
naye amefukuzwa mbali atoke duniani. 19Hana mtoto wala mzao miongoni mwa watu wake,
wala aliyenusurika mahali alipoishi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.