Ayubu 18:16
Job 18:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mizizi yake chini itakauka na matawi yake juu yatanyauka.
Job 18:16 in English
Job 18:16 · Berean Standard Bible
The roots beneath him dry up, and the branches above him wither away.
Context
14Atangʼolewa kutoka usalama wa hema lake,
na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho. 15Moto utakaa katika hema lake;
moto wa kiberiti utamwagwa juu ya makao yake. 16Mizizi yake chini itakauka
na matawi yake juu yatanyauka. 17Kumbukumbu lake litatoweka katika dunia,
wala hatakuwa na jina katika nchi. 18Ameondolewa nuruni na kusukumiwa gizani,
naye amefukuzwa mbali atoke duniani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.