Native Bible

Job 15:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hatatoka gizani; mwali wa moto utanyausha machipukizi yake, nayo pumzi ya kinywa cha Mungu itamwondolea mbali.

Job 15:30 in English

Job 15:30 · Berean Standard Bible

He will not escape from the darkness; the flame will wither his shoots, and the breath of God’s mouth will carry him away.

Context

28ataishi katika miji ya magofu, na katika nyumba ambazo haziishi mwanadamu yeyote, nyumba zinazokuwa vifusi. 29Hatatajirika tena, nao utajiri wake hautadumu, wala mali zake hazitakuwa nyingi juu ya nchi. 30Hatatoka gizani; mwali wa moto utanyausha machipukizi yake, nayo pumzi ya kinywa cha Mungu itamwondolea mbali. 31Asijidanganye mwenyewe kutumainia ubatili, kwa kuwa hatapata malipo yoyote. 32Atakuwa amelipwa kikamilifu kabla ya wakati wake, nayo matawi yake hayatastawi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.